Matendo 17:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Nao walipokwisha kumtoza dhamana Yasoni na wenziwe wakawaacha waende zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Wakawafanya Yasoni na wenzake watoe dhamana, kisha wakawaacha waende zao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Wakawafanya Yasoni na wenzake watoe dhamana, kisha wakawaacha waende zao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Wakawafanya Yasoni na wenzake watoe dhamana, kisha wakawaacha waende zao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Nao baada ya kuchukua dhamana kwa ajili ya Yasoni na wenzake wakawaachia waende zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Nao baada ya kuchukua dhamana kwa ajili ya Yasoni na wenzake wakawaacha waende zao. Tazama sura |