Matendo 17:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Mara hiyo wale ndugu wakamtuma Paulo aende zake mpaka pwani; bali Sila na Timotheo wakabakia huko. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Wale ndugu wakamsindikiza haraka aende pwani lakini Sila na Timotheo walibaki Berea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Wale ndugu wakamsindikiza haraka aende pwani lakini Sila na Timotheo walibaki Berea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Wale ndugu wakamsindikiza haraka aende pwani lakini Sila na Timotheo walibaki Berea. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Mara hiyo, wale ndugu wakamsafirisha Paulo hadi pwani, lakini Sila na Timotheo wakabaki Beroya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Mara hiyo, wale ndugu wakamsafirisha Paulo hadi pwani, lakini Sila na Timotheo wakabaki Beroya. Tazama sura |