Matendo 15:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 wala hakufanya tofauti kati yetu sisi na wao, akiwasafisha mioyo yao kwa imani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Hakufanya ubaguzi wowote kati yetu na wao; aliitakasa mioyo yao kwa imani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Hakufanya ubaguzi wowote kati yetu na wao; aliitakasa mioyo yao kwa imani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Hakufanya ubaguzi wowote kati yetu na wao; aliitakasa mioyo yao kwa imani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Mungu hakutofautisha kati yetu na wao, bali alitakasa mioyo yao kwa imani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Mungu hakutofautisha kati yetu na wao, bali alitakasa mioyo yao kwa imani. Tazama sura |