Matendo 15:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Na Mungu, ajuaye mioyo ya watu, akawashuhudia, akiwapa Roho Mtakatifu vile vile kama alivyotupa sisi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Naye Mungu anayejua mioyo ya watu, alithibitisha kwamba amewakubali kwa kuwapa nao Roho Mtakatifu kama alivyotupa sisi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Naye Mungu anayejua mioyo ya watu, alithibitisha kwamba amewakubali kwa kuwapa nao Roho Mtakatifu kama alivyotupa sisi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Naye Mungu anayejua mioyo ya watu, alithibitisha kwamba amewakubali kwa kuwapa nao Roho Mtakatifu kama alivyotupa sisi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Mungu, ajuaye mioyo ya watu, alionesha kwamba anawakubali kwa kuwapa Roho Mtakatifu wa Mungu kama vile alivyotupatia sisi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Mungu, yeye ajuaye mioyo, alionyesha kwamba anawakubali kwa kuwapa Roho wa Mwenyezi Mungu kama vile alivyotupa sisi. Tazama sura |