Matendo 15:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Kwa maana ilimpendeza Roho Mtakatifu na sisi, tusiwatwike mzigo ila hayo yaliyo lazima, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Basi, Roho Mtakatifu na sisi tumekubali tusiwatwike mzigo zaidi ya mambo haya muhimu: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Basi, Roho Mtakatifu na sisi tumekubali tusiwatwike mzigo zaidi ya mambo haya muhimu: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Basi, Roho Mtakatifu na sisi tumekubali tusiwatwike mzigo zaidi ya mambo haya muhimu: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Kwa maana imempendeza Roho wa Mungu na sisi tusiwatwike mzigo wowote mkubwa zaidi ya mambo haya yafuatayo ambayo ni ya lazima: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Kwa maana imempendeza Roho wa Mwenyezi Mungu na sisi tusiwatwike mzigo wowote mkubwa zaidi ya mambo haya yafuatayo ambayo ni ya lazima: Tazama sura |