Matendo 15:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Asema Bwana, ajulishaye hayo tangu milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Ndivyo asemavyo Bwana, aliyefanya jambo hili lijulikane tangu kale.’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Ndivyo asemavyo Bwana, aliyefanya jambo hili lijulikane tangu kale.’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Ndivyo asemavyo Bwana, aliyefanya jambo hili lijulikane tangu kale.’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 ambayo yamejulikana tangu zamani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 ambayo yamejulikana tangu zamani. Tazama sura |
Yule mnyama uliyemwona alikuwako, naye hayuko, naye yuko tayari kupanda kutoka kuzimu na kwenda kwenye uharibifu. Na hao wakaao juu ya nchi, wasioandikwa majina yao katika kitabu cha uzima tangu kuwekwa misingi ya ulimwengu, watastaajabu wamwonapo yule mnyama, ya kwamba alikuwako, naye hayuko, naye atakuwako.