Matendo 14:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Na huko Listra palikuwa na mtu mmoja, asiyeweza kutumia miguu yake na aliyekuwa kiwete tangu kuzaliwa kwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Kulikuwa na mtu mmoja huko Lustra ambaye alikuwa kiwete tangu kuzaliwa, na alikuwa hajapata kutembea kamwe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Kulikuwa na mtu mmoja huko Lustra ambaye alikuwa kiwete tangu kuzaliwa, na alikuwa hajapata kutembea kamwe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Kulikuwa na mtu mmoja huko Lustra ambaye alikuwa kiwete tangu kuzaliwa, na alikuwa hajapata kutembea kamwe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Katika mji wa Listra, kulikuwa na kiwete, aliyekuwa amelemaa tangu kuzaliwa, na hakuwa ametembea kamwe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Katika mji wa Listra, alikuwako kiwete, ambaye alikuwa amelemaa tangu kuzaliwa na hakuwa ametembea kamwe. Tazama sura |