Matendo 14:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 wao wakapata habari wakakimbilia Listra na Derbe, miji ya Likaonia, na nchi zilizo kandokando; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Mitume walipogundua jambo hilo, walikimbilia Lustra na Derbe, miji ya Lukaonia, na katika sehemu za jirani, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Mitume walipogundua jambo hilo, walikimbilia Lustra na Derbe, miji ya Lukaonia, na katika sehemu za jirani, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Mitume walipogundua jambo hilo, walikimbilia Lustra na Derbe, miji ya Lukaonia, na katika sehemu za jirani, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Lakini mitume walipopata habari hizi wakakimbilia Listra na Derbe, miji ya Likaonia na sehemu zilizopakana nayo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Lakini mitume walipopata habari hizi wakakimbilia Listra na Derbe, miji ya Likaonia na sehemu zilizopakana nayo. Tazama sura |