Matendo 14:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Na baada ya kuhubiri lile neno katika Perge wakateremka mpaka Atalia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Baada ya kuhubiri ule ujumbe huko Perga, walikwenda Atalia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Baada ya kuhubiri ule ujumbe huko Perga, walikwenda Atalia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Baada ya kuhubiri ule ujumbe huko Perga, walikwenda Atalia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Baada ya kuhubiri neno la Mungu huko Perga, wakateremkia Atalia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Baada ya kuhubiri neno la Mungu huko Perga, wakateremkia Atalia. Tazama sura |