Matendo 14:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Na kwa maneno hayo wakawazuia watu kwa shida, wasiwatolee dhabihu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Ingawa walisema hivyo haikuwa rahisi kuwazuia wale watu wasiwatambikie. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Ingawa walisema hivyo haikuwa rahisi kuwazuia wale watu wasiwatambikie. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Ingawa walisema hivyo haikuwa rahisi kuwazuia wale watu wasiwatambikie. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Hata kwa maneno haya yote, ilikuwa vigumu kuzuia umati ule wa watu kuwatolea dhabihu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Hata kwa maneno haya yote, ilikuwa vigumu kuuzuia ule umati wa watu kuwatolea dhabihu. Tazama sura |