Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 13:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

24 Yohana alipokuwa amekwisha kuwahubiria watu wote wa Israeli habari za ubatizo wa toba, kabla ya kuja kwake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Kabla ya kuja kwake Yesu, Yohane alimtangulia akiwahubiria watu wote wa Israeli kwamba ni lazima watubu na kubatizwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Kabla ya kuja kwake Yesu, Yohane alimtangulia akiwahubiria watu wote wa Israeli kwamba ni lazima watubu na kubatizwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Kabla ya kuja kwake Yesu, Yohane alimtangulia akiwahubiria watu wote wa Israeli kwamba ni lazima watubu na kubatizwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Kabla ya kuja kwa Isa, Yahya alihubiri toba na ubatizo kwa watu wote wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Kabla ya kuja kwa Isa, Yahya alihubiri toba na ubatizo kwa watu wote wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Matendo 13:24
12 Marejeleo ya Msalaba  

Mwanzo wa Injili ya Yesu Kristo, Mwana wa Mungu.

Nawe, mtoto, utaitwa nabii wake Aliye Juu, Kwa maana utatangulia mbele za uso wa Bwana umtengenezee njia zake;

kuanza tangu ubatizo wa Yohana, hata siku ile alipochukuliwa kwetu kwenda juu, inapasa mmoja wao awe shahidi wa kufufuka kwake pamoja nasi.

jambo lile ninyi mmelijua, lililoenea kote katika Yudea likianzia Galilaya, baada ya ubatizo aliouhubiri Yohana;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo