Matendo 13:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Ndipo yule mtawala, alipoyaona yaliyotendeka, akaamini, akiyastaajabia mafundisho ya Bwana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Yule mkuu wa kisiwa alipoona hayo, aliongoka akawa mwaamini; akastaajabia sana mafundisho aliyosikia juu ya Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Yule mkuu wa kisiwa alipoona hayo, aliongoka akawa mwaamini; akastaajabia sana mafundisho aliyosikia juu ya Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Yule mkuu wa kisiwa alipoona hayo, aliongoka akawa mwaamini; akastaajabia sana mafundisho aliyosikia juu ya Bwana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Yule mkuu wa kile kisiwa alipoona yaliyotukia, akaamini kwa sababu alistaajabishwa na mafundisho kuhusu Bwana Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Yule mkuu wa kile kisiwa alipoona yaliyotukia, akaamini kwa sababu alistaajabishwa na mafundisho kuhusu Bwana Isa. Tazama sura |