Matendo 11:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Ikawa nilipoanza kunena, Roho Mtakatifu akawashukia kama alivyotushukia sisi mwanzo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Na nilipoanza tu kuongea, Roho Mtakatifu aliwashukia kama alivyotushukia sisi pale awali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Na nilipoanza tu kuongea, Roho Mtakatifu aliwashukia kama alivyotushukia sisi pale awali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Na nilipoanza tu kuongea, Roho Mtakatifu aliwashukia kama alivyotushukia sisi pale awali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 “Nami nilipoanza kusema, Roho wa Mungu akashuka juu yao kama vile alivyotushukia sisi hapo mwanzo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 “Nami nilipoanza kusema, Roho wa Mwenyezi Mungu akashuka juu yao kama vile alivyotushukia sisi hapo mwanzo. Tazama sura |