Matendo 10:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 akasema, Kornelio, kuomba kwako kumesikiwa, na sadaka zako zinakumbukwa mbele za Mungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 akasema: ‘Kornelio! Sala yako na sadaka zako kwa maskini zimekubaliwa na Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 akasema: ‘Kornelio! Sala yako na sadaka zako kwa maskini zimekubaliwa na Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 akasema: ‘Kornelio! Sala yako na sadaka zako kwa maskini zimekubaliwa na Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 akasema, ‘Kornelio, maombi yako yamesikiwa na misaada yako kwa maskini imekumbukwa mbele za Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 akasema, ‘Kornelio, maombi yako yamesikiwa na sadaka zako kwa maskini zimekumbukwa mbele za Mungu. Tazama sura |