Matendo 10:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Kwa sababu hiyo nilikuja nilipoitwa, nisikatae; basi nawauliza, ni neno gani mliloniitia? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Kwa sababu hiyo, mliponiita nimekuja bila kusita. Basi, nawaulizeni: Kwa nini mmeniita?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Kwa sababu hiyo, mliponiita nimekuja bila kusita. Basi, nawaulizeni: Kwa nini mmeniita?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Kwa sababu hiyo, mliponiita nimekuja bila kusita. Basi, nawaulizeni: kwa nini mmeniita?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Ndiyo sababu ulipotuma niitwe nilikuja bila kupinga lolote. Basi sasa naomba unieleze kwa nini umeniita?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Ndiyo sababu ulipotuma niitwe nilikuja bila kupinga lolote. Basi sasa naomba unieleze kwa nini umeniita?” Tazama sura |