Matendo 10:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Sauti ikamjia mara ya pili, ikimwambia, Vilivyotakaswa na Mungu, usiviite wewe najisi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Ile sauti ikasikika tena ikimwambia: “Usiviite najisi vitu ambavyo Mungu amevitakasa!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Ile sauti ikasikika tena ikimwambia: “Usiviite najisi vitu ambavyo Mungu amevitakasa!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Ile sauti ikasikika tena ikimwambia: “Usiviite najisi vitu ambavyo Mungu amevitakasa!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Ile sauti ikasema naye mara ya pili, “Usikiite najisi kitu chochote Mungu alichokitakasa.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Ile sauti ikasema naye mara ya pili, “Usikiite najisi kitu chochote Mungu alichokitakasa.” Tazama sura |