Matendo 10:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 akaona mbingu zimefunuka, na chombo kikishuka kama nguo kubwa, inateremshwa kwa pembe zake nne hadi chini; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Aliona mbingu zimefunguliwa na kitu kama shuka kubwa inateremshwa chini ikiwa imeshikwa pembe zake nne. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Aliona mbingu zimefunguliwa na kitu kama shuka kubwa inateremshwa chini ikiwa imeshikwa pembe zake nne. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Aliona mbingu zimefunguliwa na kitu kama shuka kubwa inateremshwa chini ikiwa imeshikwa pembe zake nne. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Akaona mbingu zimefunguka na kitu kama kitambaa kikubwa kikishushwa duniani kwa ncha zake nne. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Akaona mbingu zimefunguka na kitu kama nguo kubwa kikishushwa duniani kwa ncha zake nne. Tazama sura |