Marko 9:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Yesu akamwambia, Ukiweza! Yote yawezekana kwake aaminiye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Yesu akamwambia, “Ati ikiwa waweza! Mambo yote yanawezekana kwa mtu aliye na imani.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Yesu akamwambia, “Ati ikiwa waweza! Mambo yote yanawezekana kwa mtu aliye na imani.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Yesu akamwambia, “Ati ikiwa waweza! Mambo yote yanawezekana kwa mtu aliye na imani.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Isa akamwambia, “Ati, ‘Kama unaweza kufanya jambo lolote’? Yote yawezekana kwake yeye aaminiye.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Isa akamwambia, “Kama ukiweza kuamini, yote yawezekana kwake yeye aaminiye.” Tazama sura |