Marko 9:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 mara mkutano wote walipomwona walishangaa, wakamwendea mbio, wakamsalimu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Mara tu ule umati wa watu ulipomwona, wote walishangaa sana, wakamkimbilia wamsalimu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Mara tu ule umati wa watu ulipomwona, wote walishangaa sana, wakamkimbilia wamsalimu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Mara tu ule umati wa watu ulipomwona, wote walishangaa sana, wakamkimbilia wamsalimu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Mara wale watu walipomwona Isa, wakastaajabu sana, wakamkimbilia ili kumsalimu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Mara wale watu walipomwona Isa, wakastaajabu sana, wakamkimbilia ili kumsalimu. Tazama sura |