Marko 8:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Wakala, wakashiba, wakakusanya mabaki ya vipande vya mikate vikapu saba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Watu wakala, wakashiba. Wakakusanya makombo wakajaza vikapu saba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Watu wakala, wakashiba. Wakakusanya makombo wakajaza vikapu saba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Watu wakala, wakashiba. Wakakusanya makombo wakajaza vikapu saba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Wale watu walikula na kutosheka. Baadaye wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu saba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Wale watu walikula na kutosheka. Baadaye wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu saba. Tazama sura |