Marko 8:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Wakafika Bethsaida, wakamletea kipofu, wakamsihi amguse. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Yesu alifika Bethsaida pamoja na wanafunzi wake. Huko watu wakamletea kipofu, wakamwomba amguse. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Yesu alifika Bethsaida pamoja na wanafunzi wake. Huko watu wakamletea kipofu, wakamwomba amguse. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Yesu alifika Bethsaida pamoja na wanafunzi wake. Huko watu wakamletea kipofu, wakamwomba amguse. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Wakafika Bethsaida na baadhi ya watu wakamleta mtu mmoja kipofu wakamsihi Isa amguse. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Wakafika Bethsaida na baadhi ya watu wakamleta mtu mmoja kipofu wakamsihi Isa amguse. Tazama sura |