Marko 7:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Nyinyi mnaiacha amri ya Mungu na kushikilia maagizo ya watu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Nyinyi mnaiacha amri ya Mungu na kushikilia maagizo ya watu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Nyinyi mnaiacha amri ya Mungu na kushikilia maagizo ya watu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Ninyi mmeziacha amri za Mungu na kushika desturi za watu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Ninyi mmeziacha amri za Mungu na kushika desturi za watu.” Tazama sura |