Marko 7:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC37 wakashangaa mno kupita kiasi, wakinena, Ametenda mambo yote vema; viziwi awafanya wasikie, na bubu waseme. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Watu walishangaa sana, wakasema, “Amefanya yote vyema: Amewajalia viziwi kusikia, na mabubu kusema!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Watu walishangaa sana, wakasema, “Amefanya yote vyema: Amewajalia viziwi kusikia, na mabubu kusema!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Watu walishangaa sana, wakasema, “Amefanya yote vyema: amewajalia viziwi kusikia, na mabubu kusema!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Walistaajabu mno. Wakasema, “Amefanya mambo yote vizuri mno! Amewawezesha viziwi wasikie na bubu waseme!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Walistaajabu mno. Wakasema, “Amefanya mambo yote vizuri mno! Amewawezesha viziwi wasikie na bubu waseme!” Tazama sura |