Marko 7:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Wakamletea kiziwi, naye ni mwenye utasi, wakamsihi amwekee mikono. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Basi, wakamletea bubu kiziwi, wakamwomba amwekee mikono. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Basi, wakamletea bubu kiziwi, wakamwomba amwekee mikono. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Basi, wakamletea bubu kiziwi, wakamwomba amwekee mikono. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Huko, watu wakamletea Isa mtu mmoja kiziwi, ambaye pia alikuwa na kigugumizi, wakamwomba aweke mkono wake juu ya huyo mtu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Huko, watu wakamletea Isa mtu mmoja kiziwi, ambaye pia alikuwa na kigugumizi, wakamwomba aweke mkono wake juu ya huyo mtu na amponye. Tazama sura |