Marko 7:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Naye akajibu, akamwambia, Naam, Bwana, lakini hata mbwa walio chini ya meza hula makombo ya watoto. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Lakini huyo mama akasema, “Ni kweli, Bwana; lakini hata mbwa walio chini ya meza hula makombo ya watoto.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Lakini huyo mama akasema, “Ni kweli, Bwana; lakini hata mbwa walio chini ya meza hula makombo ya watoto.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Lakini huyo mama akasema, “Ni kweli, Bwana; lakini hata mbwa walio chini ya meza hula makombo ya watoto.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Lakini yule mwanamke akamjibu, “Bwana, hata mbwa walio chini ya meza hula makombo ya chakula cha watoto.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Lakini yule mwanamke akamjibu, “Bwana, hata mbwa walio chini ya meza hula makombo ya chakula cha watoto.” Tazama sura |