Marko 7:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Akawaita makutano tena, akawaambia, Nisikieni nyote na kufahamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Yesu aliuita tena ule umati wa watu, akawaambia, “Nisikilizeni nyote, mkaelewe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Yesu aliuita tena ule umati wa watu, akawaambia, “Nisikilizeni nyote, mkaelewe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Yesu aliuita tena ule umati wa watu, akawaambia, “Nisikilizeni nyote, mkaelewe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Isa akaita tena umati ule wa watu, akawaambia, “Nisikilizeni nyote, na mwelewe jambo hili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Isa akaita tena ule umati wa watu, akawaambia, “Nisikilizeni, kila mmoja wenu na mwelewe jambo hili. Tazama sura |