Marko 6:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Akawaita wale Kumi na Wawili, akaanza kuwatuma wawili wawili, akawapa amri juu ya pepo wachafu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Aliwaita wale wanafunzi kumi na wawili, akaanza kuwatuma wawiliwawili. Aliwapa uwezo wa kuwafukuza pepo wachafu; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Aliwaita wale wanafunzi kumi na wawili, akaanza kuwatuma wawiliwawili. Aliwapa uwezo wa kuwafukuza pepo wachafu; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Aliwaita wale wanafunzi kumi na wawili, akaanza kuwatuma wawiliwawili. Aliwapa uwezo wa kuwafukuza pepo wachafu; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Akawaita wale kumi na wawili, akawatuma wawili wawili, na kuwapa mamlaka kutoa pepo wachafu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Akawaita wale kumi na wawili, akawatuma wawili wawili, na kuwapa mamlaka kutoa pepo wachafu. Tazama sura |