Marko 6:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Wakaenda zao faragha mashuani, mahali pasipokuwa na watu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Basi, wakaondoka peke yao kwa mashua, wakaenda mahali pa faragha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Basi, wakaondoka peke yao kwa mashua, wakaenda mahali pa faragha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Basi, wakaondoka peke yao kwa mashua, wakaenda mahali pa faragha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Hivyo wakaondoka kwa mashua peke yao, wakaenda mahali pasipo na watu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Hivyo wakaondoka kwa mashua peke yao, wakaenda mahali pasipo na watu. Tazama sura |