Marko 5:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 makao yake yalikuwa pale makaburini; wala hakuna mtu yeyote aliyeweza kumfunga tena, hata kwa minyororo; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Mtu huyo alikuwa akiishi makaburini wala hakuna mtu aliyeweza tena kumfunga kwa minyororo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Mtu huyo alikuwa akiishi makaburini wala hakuna mtu aliyeweza tena kumfunga kwa minyororo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Mtu huyo alikuwa akiishi makaburini wala hakuna mtu aliyeweza tena kumfunga kwa minyororo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Mtu huyu aliishi makaburini, wala hakuna aliyeweza kumzuia hata kwa kumfunga minyororo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Mtu huyu aliishi makaburini, wala hakuna aliyeweza kumzuia hata kwa kumfunga minyororo. Tazama sura |