Marko 5:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Aliposikia habari za Yesu, alipita katika mkutano kwa nyuma, akaligusa vazi lake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Alikuwa amesikia habari za Yesu, na hivyo akaupenya msongamano wa watu kutoka nyuma, akagusa vazi lake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Alikuwa amesikia habari za Yesu, na hivyo akaupenya msongamano wa watu kutoka nyuma, akagusa vazi lake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Alikuwa amesikia habari za Yesu, na hivyo akaupenya msongamano wa watu kutoka nyuma, akagusa vazi lake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Alikuwa amesikia habari za Isa, naye akaja kwa nyuma yake kwenye umati wa watu, akaligusa vazi lake, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Alikuwa amesikia habari za Isa, naye akaja kwa nyuma yake kwenye umati wa watu, akaligusa vazi lake, Tazama sura |