Marko 5:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Pepo wote wakamsihi, wakisema, Tupeleke katika nguruwe, tupate kuwaingia wao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Basi, hao pepo wakamsihi, “Utupeleke kwa hao nguruwe, tuwaingie.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Basi, hao pepo wakamsihi, “Utupeleke kwa hao nguruwe, tuwaingie.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Basi, hao pepo wakamsihi, “Utupeleke kwa hao nguruwe, tuwaingie.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Wale pepo wachafu wakamsihi Isa wakisema, “Tuamuru twende kwenye wale nguruwe. Turuhusu tuwaingie.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Wale pepo wachafu wakamsihi Isa wakisema, “Tuamuru twende kwenye wale nguruwe. Turuhusu tuwaingie.” Tazama sura |