Marko 4:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Nyingine ikaanguka penye miiba; ile miiba ikamea ikaisonga, isizae matunda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Nyingine zilianguka kwenye miti ya miiba, nayo ikakua na kuzisonga, nazo hazikuzaa nafaka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Nyingine zilianguka kwenye miti ya miiba, nayo ikakua na kuzisonga, nazo hazikuzaa nafaka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Nyingine zilianguka kwenye miti ya miiba, nayo ikakua na kuzisonga, nazo hazikuzaa nafaka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Mbegu nyingine zilianguka kwenye miiba, nayo miiba ikakua, ikaisonga hiyo mimea, hivyo haikutoa mazao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Mbegu nyingine zilianguka kwenye miiba, nayo miiba hiyo ikakua, ikaisonga hiyo mimea, hivyo haikutoa mazao. Tazama sura |