Marko 4:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Akasema, Ufalme wa Mungu, mfano wake ni kama mtu aliyemwaga mbegu juu ya nchi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Yesu akaendelea kusema, “Ufalme wa Mungu ni kama ifuatavyo. Mtu hupanda mbegu shambani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Yesu akaendelea kusema, “Ufalme wa Mungu ni kama ifuatavyo. Mtu hupanda mbegu shambani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Yesu akaendelea kusema, “Ufalme wa Mungu ni kama ifuatavyo. Mtu hupanda mbegu shambani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Pia akawaambia, “Ufalme wa Mungu unafanana na mtu apandaye mbegu shambani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Pia akawaambia, “Ufalme wa Mwenyezi Mungu unafanana na mtu apandaye mbegu shambani. Tazama sura |