Marko 3:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC33 Akawajibu, akisema, Mama yangu na ndugu zangu ni akina nani? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Yesu akawaambia, “Mama yangu na ndugu zangu ni kina nani?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Yesu akawaambia, “Mama yangu na ndugu zangu ni kina nani?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Yesu akawaambia, “Mama yangu na ndugu zangu ni kina nani?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Akawauliza, “Mama yangu na ndugu zangu ni nani?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Akawauliza, “Mama yangu na ndugu zangu ni nani?” Tazama sura |