Marko 3:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Akamwambia yule mtu mwenye mkono uliopooza, Simama katikati. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Yesu akamwambia huyo mtu aliyekuwa na mkono uliopooza, “Njoo hapa katikati.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Yesu akamwambia huyo mtu aliyekuwa na mkono uliopooza, “Njoo hapa katikati.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Yesu akamwambia huyo mtu aliyekuwa na mkono uliopooza, “Njoo hapa katikati.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Isa akamwambia yule mtu mwenye mkono uliopooza, “Njoo hapa mbele ya watu wote.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Isa akamwambia yule mwenye mkono uliopooza, “Njoo hapa mbele ya watu wote.” Tazama sura |