Marko 3:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Akawaita, akawaambia kwa mifano, Awezaje Shetani kumtoa Shetani? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Hapo Yesu akawaita, akawaambia kwa mifano, “Shetani anawezaje kumfukuza Shetani? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Hapo Yesu akawaita, akawaambia kwa mifano, “Shetani anawezaje kumfukuza Shetani? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Hapo Yesu akawaita, akawaambia kwa mifano, “Shetani anawezaje kumfukuza Shetani? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Basi Isa akawaita na kuzungumza nao kwa mifano akasema: “Shetani awezaje kumtoa Shetani? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Basi Isa akawaita na kuzungumza nao kwa mifano akasema: “Shetani awezaje kumtoa Shetani? Tazama sura |