Marko 15:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC35 Na baadhi yao waliosimama pale, walisema, Tazama, anamwita Eliya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Baadhi ya watu waliosimama pale waliposikia hivyo, walisema, “Sikiliza! Anamwita Elia.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Baadhi ya watu waliosimama pale waliposikia hivyo, walisema, “Sikiliza! Anamwita Elia.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Baadhi ya watu waliosimama pale waliposikia hivyo, walisema, “Sikiliza! Anamwita Elia.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Baadhi ya watu waliokuwa wamesimama karibu waliposikia hayo, wakasema, “Msikieni, anamwita Ilya.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Baadhi ya watu waliokuwa wamesimama karibu waliposikia hayo, wakasema, “Msikieni anamwita Ilya.” Tazama sura |