Marko 15:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Palikuwa na anwani ya mashitaka yake iliyoandikwa juu, MFALME WA WAYAHUDI. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Na shtaka dhidi yake lilikuwa limeandikwa, “Mfalme wa Wayahudi.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Na shtaka dhidi yake lilikuwa limeandikwa, “Mfalme wa Wayahudi.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Na shtaka dhidi yake lilikuwa limeandikwa, “Mfalme wa Wayahudi.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Tangazo likaandikwa la mashtaka dhidi yake lenye maneno haya: Mfalme wa Wayahudi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Tangazo likaandikwa la mashtaka dhidi yake lenye maneno haya: “mfalme wa wayahudi.” Tazama sura |