Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 15:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

2 Pilato akamwuliza, Wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi? Akajibu, akamwambia, Wewe wasema.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Pilato akamwuliza Yesu, “Je, wewe ni Mfalme wa Wayahudi?” Yesu akajibu, “Wewe umesema.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Pilato akamwuliza Yesu, “Je, wewe ni Mfalme wa Wayahudi?” Yesu akajibu, “Wewe umesema.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Pilato akamwuliza Yesu, “Je, wewe ni Mfalme wa Wayahudi?” Yesu akajibu, “Wewe umesema.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Pilato akamuuliza, “Je, wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi?” Isa akajibu, “Wewe umesema.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Pilato akamuuliza, “Je, wewe ndiwe Mfalme wa Wayahudi?” Isa akajibu, “Wewe umesema.”

Tazama sura Nakili




Marko 15:2
11 Marejeleo ya Msalaba  

Yuko wapi yeye aliyezaliwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliiona nyota yake mashariki, nasi tumekuja kumsujudia.


Pilato akajibu tena akawaambia, Basi nimtendeje huyu mnayemnena kuwa ni mfalme wa Wayahudi?


wakaanza kumsalimu, Salamu, Mfalme wa Wayahudi!


Palikuwa na anwani ya mashitaka yake iliyoandikwa juu, MFALME WA WAYAHUDI.


Nao wakuu wa makuhani walikuwa wakimshitaki mambo mengi.


Pilato akawajibu, akisema, Je! Mnataka niwafungulie mfalme wa Wayahudi?


Nakuagiza mbele za Mungu anayevihifadhi hai vitu vyote, na mbele za Kristo Yesu, aliyeyaungama maungamo mazuri yale mbele ya Pontio Pilato,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo