Marko 15:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Lakini wakuu wa makuhani wakawachochea watu, kuwa afadhali awafungulie Baraba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Lakini makuhani wakuu wakawachochea watu wamwombe Pilato awafungulie Baraba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Lakini makuhani wakuu wakawachochea watu wamwombe Pilato awafungulie Baraba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Lakini makuhani wakuu wakawachochea watu wamwombe Pilato awafungulie Baraba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Lakini viongozi wa makuhani wakachochea umati ule wa watu wamwombe awafungulie Baraba badala yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Lakini viongozi wa makuhani wakauchochea ule umati wa watu wamwombe awafungulie Baraba badala yake. Tazama sura |