Marko 14:66 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC66 Na Petro alikuwa chini behewani; akaja mmoja wa vijakazi wa Kuhani Mkuu, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema66 Petro alipokuwa bado chini uani, mmoja wa watumishi wa kike wa kuhani mkuu alikuja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND66 Petro alipokuwa bado chini uani, mmoja wa watumishi wa kike wa kuhani mkuu alikuja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza66 Petro alipokuwa bado chini uani, mmoja wa watumishi wa kike wa kuhani mkuu alikuja. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu66 Petro alipokuwa bado yuko chini uani, tazama akaja mmoja wa wajakazi wa kuhani mkuu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu66 Petro alipokuwa bado yuko chini kwenye ua wa jumba la kifalme, tazama akaja mmoja wa watumishi wa kike wa kuhani mkuu. Tazama sura |