Marko 14:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC33 Akamtwaa Petro na Yakobo na Yohana pamoja naye, akaanza kufadhaika sana na kuhangaika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Kisha akawachukua Petro, Yakobo na Yohane; akaanza kufadhaika sana na kuhangaika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Kisha akawachukua Petro, Yakobo na Yohane; akaanza kufadhaika sana na kuhangaika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Kisha akawachukua Petro, Yakobo na Yohane; akaanza kufadhaika sana na kuhangaika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Kisha akawachukua pamoja naye Petro, Yakobo na Yohana. Akaanza kuhuzunika sana na kutaabika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Kisha akawachukua pamoja naye Petro, Yakobo na Yohana. Akaanza kuhuzunika sana na kutaabika. Tazama sura |