Marko 14:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Petro akamwambia, Hata wajapokunguwazwa wote, lakini siyo mimi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Petro akamwambia “Hata kama wote watakuwa na mashaka nawe na kukuacha, mimi sitakukana kamwe!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Petro akamwambia “Hata kama wote watakuwa na mashaka nawe na kukuacha, mimi sitakukana kamwe!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Petro akamwambia “Hata kama wote watakuwa na mashaka nawe na kukuacha, mimi sitakukana kamwe!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Petro akasema, “Hata kama wengine wote watakuacha, mimi sitakuacha.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Petro akasema, “Hata kama wengine wote watakuacha, mimi sitakuacha.” Tazama sura |