Marko 14:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Nao walipokwisha kuimba walitoka kwenda katika mlima wa Mizeituni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Kisha wakaimba wimbo, wakaondoka, wakaenda katika mlima wa Mizeituni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Kisha wakaimba wimbo, wakaondoka, wakaenda katika mlima wa Mizeituni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Kisha wakaimba wimbo, wakaondoka, wakaenda katika mlima wa Mizeituni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka wakaenda Mlima wa Mizeituni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka wakaenda Mlima wa Mizeituni. Tazama sura |