Marko 12:40 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC40 ambao hula nyumba za wajane, na kwa unafiki husali sala ndefu; hawa watapata hukumu iliyo kubwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Huwadhulumu wajane huku wakijisingizia kusali sala ndefu! Siku ya hukumu watapata adhabu kali.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Huwadhulumu wajane huku wakijisingizia kusali sala ndefu! Siku ya hukumu watapata adhabu kali.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Huwadhulumu wajane huku wakijisingizia kusali sala ndefu! Siku ya hukumu watapata adhabu kali.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 Wao hula nyumba za wajane, na ili waonekane kuwa wema wanasali sala ndefu. Watu kama hawa watapata hukumu iliyo kuu sana.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 Wao hula nyumba za wajane, na ili waonekane kuwa wema wanasali sala ndefu. Watu kama hawa watapata hukumu iliyo kuu sana.” Tazama sura |