Marko 11:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Petro akakumbuka habari yake, akamwambia, Rabi, tazama, mtini ulioulaani umenyauka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Petro aliukumbuka, akamwambia Yesu, “Mwalimu, tazama! Ule mtini ulioulaani, umenyauka!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Petro aliukumbuka, akamwambia Yesu, “Mwalimu, tazama! Ule mtini ulioulaani, umenyauka!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Petro aliukumbuka, akamwambia Yesu, “Mwalimu, tazama! Ule mtini ulioulaani, umenyauka!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Petro akakumbuka na kumwambia Isa, “Mwalimu, tazama! Ule mtini ulioulaani umenyauka!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Petro akakumbuka na kumwambia Isa, “Mwalimu, tazama! Ule mtini ulioulaani umenyauka!” Tazama sura |