Marko 10:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Kwa sababu hiyo mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Hivyo mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Hivyo mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Hivyo mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 ‘Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake na kuambatana na mkewe, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake na kuambatana na mkewe, na hao wawili watakuwa mwili mmoja.’ Tazama sura |