Marko 10:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Nao wakashangaa mno, wakimwambia, Ni nani, basi, awezaye kuokoka? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Wanafunzi wake wakashangaa sana wakaulizana, “Ni nani basi, atakayeweza kuokoka?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Wanafunzi wake wakashangaa sana wakaulizana, “Ni nani basi, atakayeweza kuokoka?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Wanafunzi wake wakashangaa sana wakaulizana, “Ni nani basi, atakayeweza kuokoka?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Wanafunzi wake wakashangaa sana. Wakaulizana wao kwa wao, “Ni nani basi awezaye kuokoka?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Wanafunzi wake wakashangaa sana. Wakaulizana wao kwa wao, “Ni nani basi awezaye kuokoka?” Tazama sura |