Marko 10:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 na mke, akimwacha mumewe na kuolewa na mtu mwingine, azini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Na mwanamke anayemwacha mumewe na kuolewa na mwingine anazini.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Na mwanamke anayemwacha mumewe na kuolewa na mwingine anazini.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Na mwanamke anayemwacha mumewe na kuolewa na mwingine anazini.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Naye mwanamke amwachaye mumewe na kuolewa na mume mwingine, anazini.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Naye mwanamke amwachaye mumewe na kuolewa na mume mwingine, anazini.” Tazama sura |