Marko 1:41 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC41 Naye akamhurumia, akanyosha mkono wake, akamgusa, akamwambia, Nataka, takasika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema41 Yesu akamwonea huruma, akanyosha mkono wake, akamgusa na kumwambia, “Nataka! Takasika!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND41 Yesu akamwonea huruma, akanyosha mkono wake, akamgusa na kumwambia, “Nataka! Takasika!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza41 Yesu akamwonea huruma, akanyosha mkono wake, akamgusa na kumwambia, “Nataka! Takasika!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu41 Isa, akiwa amejawa na huruma, akaunyoosha mkono wake akamgusa, akamwambia, “Nataka. Takasika!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu41 Isa, akiwa amejawa na huruma, akanyoosha mkono wake akamgusa, akamwambia, “Nataka. Takasika!” Tazama sura |